New Audio [Mr Champagne ft Emery Sun_Urukundo]Download.mp3

Msani Mr Champagne kutoka Burundi ameachia nyimbo yake mpya itwayo Urukundo( Mapenzi) akishirikiana na mkali wa R&B Emery Sun.

Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa msanii Mr Champagne kurikodi nyimbo akitumia maneno yenye lugha ya kirundi ....na kama na wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane katika website hii wasiliana nasi kwa namba +257 75707305
Powered by Blogger.