Mwana hip hop Ndayisenga Benny alamaarufu Loveb Yuda mwenye makazi yake nchini Uganda, ameachia nyimbo yake mpya itwayo Icete ca 3 ( Meseji ya 3), pande za Blessing Studio chini ya mikono ya producer  Bienv On The Mix.

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top