Msanii Jafree kutoka DR Congo, Lubumbashi, ameshirikiana na msanii Mr Champagne kutoka Burundi, wameachia nyimbo mpya itwayo Pale Pale.

Tumewasogezeni nyimbo nzuri Pale Pale ya kwake Jafree akishirikiana na Mr Champagne,  endapo nawe utapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye namba +257 75707305

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top