TANGAZO
Kundi nzima la H-TAG ikishirikiana na mkali wa Mpikibanza, Double Jay wameachia nyimbo mpya itwayo Don't Let me Down chini ya mikono ya producer mahiri Master Land pande za Master Music Studio.

Tumewasogezeeni nyimbo nzuri sana hii..... endapo utapendelea nawe kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye namba +257 75707305

kumbuka biashara ni matangazo kama wewe ni msanii au mfanya biashara na ungependa kazi yako ionekane kenye website hii wasiliana nasi kwa no; +255714903603

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by Harocq
 
Top