New Audio [Feckson ft Don Chilo & Wilson_Masela]Download.mp3

Msanii Feckson akishirikiana na Don Chilo pamoja na Wilson kutoka Burundi , wameachia nyimbo mpya itwayo Masela pande za Good Father Studio ya mkoani Rumonge.

African Mishe imeisogeza hapa nyimbo nzuri Masela ya kwake Feckson akishirikiana na Don Chilo pamoja na Wilson, endapo nawe ni msanii unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasilia nasi kwenye namba +257 75707305
Powered by Blogger.