New Audio [ Davidson ft Young Voice_Good Times]Download.mp3

Msanii Davidson mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini ameachia nyimbo yake mpya itwayo Good Times akishirikiana na Young Voice raia wa Afrika Kusini.

Tumewasogezeni nyimbo nzuri kutoka kwa Davidson hapa na endapo utapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye namba +257 75707305
Powered by Blogger.