Mwanamuziki maarufu Afrika Mashariki ambaye kwasasa anaziki kupata sifa nyingi nchini Canada, Papa Fololo raia wa Burundi mwenye makazi yake nchini Canada anatarajia kuachia bonge la nyimbo itwayo Mapenzi ya Uhakika.

Papa Fololo  wengi wanamfahamu kama muimba taarabu ila amejaribu kubadili mtindo tofauti na awali kwenye nyimbo yake hii mpya, katika arakati ya kutangaza kazi zake kimataifa anaitajika kwenda na wakati na kujaribu kufanya kazi nzuri katika style yote.
Director Okitto Paluku
Aidha, kuhusu video clip zijazo ivi karibuni, Papa Fololo amesaini mkataba na director mkanada mwenye asili ya DR Congo, Okitto Paluku mwenye makazi yake Toronto mpakani na Umarekani huku video zake zitakuja na kaliti nzuri.

Tuwakumbushe kwamba nyimbo mpya Mapenzi ya Uhakika ya kwake Papa Fololo  itaachiwa ivi karibuni na moja kwa moja itapatikana hapa kwenye gazeti yenu ya African Mishe.

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top