Baada ya nyimbo Nkundakunya ya wasani wenye umri dogo sana Chris na Junior, wamerudi tena na nyimbo nyingine mpya itwayo Warihehe yenye mtindo wa Raggae chini ya mikono ya producer Soprano Amazing katika studio African Touch Muzik.

Tumewasogezeni nyimbo nzuri ya watoto hawa na endapo nawe utapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi lwenye namba +257 75707305

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top