Msani Bebe akishirikiana Chris Biz ambaye ni maarufu Burundi Flava, wameachia nyimbo mpya itwayo Kwa Nyokuru chini ya mikono ya  producer Master Land pande za Master Music Studio.

Kwa kweli nyimbo hii ni nzuri ndio madhumuni yetu yakuwasogezeeni hapa kwa mara ya kwanza na endapo utapendelea kazi zako zipatikane hapa, wasiliana nasi kwenye namba +257 75707305

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top