TANGAZO
Mwanamuziki Babbi kutoka Burundi mwenye makazi yake Umarekani ameachia nyimbo yake mpya itwayo Hoi akishirikiana na mwanamuziki kongwe Kidumu pande za Sweseka Production.

Hii ni moja kati ya  kazi nzuri ya mwanamuziki Babbi kwa hiyo tumewasogeezeni hapa nyimbo nzuri sana, Kidumu ameitendea haki nyimbo hii ... endapo nawe ni msanii unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye namba +257 75707305

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top