Mwana Hip Hop Omario Lee awataja pia awapongeza watu muhimu kwenye kazi yake ya muziki

Mwana hip hop kutoka Burundi mwenye makazi yake nchini Uganda, Omario Lee amewataja watu muhimu wanao zidi kuisambaza na kuchangia kiasi kikubwa  kazi yake ya muziki.

Mwana hip hop huyo baada ya kuachia kibao chake "Hema Water" inayo zidi kufanya vizuri jijini Kampala na Burundi, ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa baada ya wiki mbili tu kazi yake imezidi kudhirirka kwasasa mahali pote Hema Water inasikika na inakubalika huku akisema kuwa jitahada zote ni baadhi ya watu walio changia ni pamoja na kituo cha Radio La Colombe katika kipindi kinacho ongozwa na mwanadada mrembo Judie Cael pia na muandishi  mahiri wa gazeti la Mishe Mishe Douglas Eric.

Omario Lee ameandika maneno haya kwenye ukurasa wake wa instagram katika lugha ya Kingereza:

After too weeks my new talent Hema Wateris out, Let me say thanks a lot Radio Station Colombe

Presenter Judie Cael
Pomoter Douglas Eric
           Big up all fans for drinking Hema Water and Listenng
Big up Davidfrom Nabila house

Respect  Mr Rakesh God be with you

Evrybody let we enjoy our drink Hema Water

Maji Bora pia nyimbo bora

kwa pamoja ebu tuisikilize Hema Water ya kwake Omario Lee


Powered by Blogger.