Mtayarishaji wa video za muziki nchini, Nisher baada ya ukimya wa
muda mrefu bila kuachia kazi anajipanga kuja kuvingene huku akiwa na
vifaa vipya na vya gharama kubwa.


nisher-ndani-ya-mtambo-mpya


Mshindi huyo wa tuzo ya Muongozaji wa Video anayependwa katika Tuzo
za watu 2014, ameonyesha kijihimarisha zaidi katika vifaa ili
kukabiliana na ushidani uliopo kwenye game.


“Now me to re-introduce Myself My Name is NISHER, DIRECTOR NISHER.
Cant wait for you to see what I’m doing with MY ALL NEW $ 15,000 Camera.
It’s Crazy!!,” aliandika Nisher instagram.


Nisher ni mmoja kati ya waongozaji wa video nchini ambao walifanya vizuri katika tasnia ya muziki na kufanya mapinduzi.

.

Hii ni moja kati ya project mpya aliyotengenezwa kupitia kamera hiyo

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top