Msimamo wa kila kundi timu za Afrika zinazo wania kufuzu kombe la dunia 2018


Habari za michezo zilikuwa zikiendeshwa mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo siku ya kwanza ya hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia itakayofanyika Urusi baada ya miaka miwili.

Blacks Stars ya Ghana ambayo imefungua dimba dhidi ya Uganda, Ghana haikufanya vizuri zaidi kuliko sare ya 1-1 wakiwa nyumbani, katika kundi B itwato kundi la kifo  (Algérie, Cameroun, Nigeria na Zambia) Nigeria imefanya miujiza kupitia mchezaji wa Manchester City, Kelechi Iheanacho kuwashinda Zambia 1-2 wakiwa ugenini huku Algeria imekwenda sare ya 1-1 dhidi ya Cameroon.

Kwa upande mwingine Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imehiadhibu vikali Lybia kwa bao 4-0 na kuchukua hatamu ya kundi A.

Kundi  A
Tunisie 2-0 Guinée
RDC 4-0 Libye
Msimamo :
RD Congo 3 pts (+4)
Tunisie 3 pts (+2)
Guinée 0 pt (-2)
Libye 0 pt (-4)

Kundi B
Algérie 1-1 Cameroun
Zambie 1-2 Nigeria
Msimamo :
Nigeria 3 pts (+1)
Cameroun 1 pt (0)
Algérie 1 pt (0)
Zambie 0 pt (-1)

Kundi C
Gabon 0-0 Maroc
Côte d’Ivoire 3-1 Mali
Msimamo :
Côte d’Ivoire 3 pts (+2)
Gabon 1 pt (0)
Maroc 1 pt (0)
Mali 0 pt (-2)

Kundi D
Burkina Faso 1-1 Afrique du Sud
Sénégal 2-0 Cap Vert
Msimamo :
Sénégal 3 pts (+2)
Afrique du Sud 1 pt (0)
Burkina Faso 1 pt (0)
Cap Vert 0 pt (-2)

Kundi E
Ghana 0-0 Ouganda
Congo 1-2 Egypte
Msimamo :
Egypte 3 pts (+1)
Ghana 1 pt (0)
Ouganda 1 pt (0)
Congo 0 pt (-1)
Powered by Blogger.