Msanii wa Nigeria, Davido ameahidi kuachia kitu kipya Ijumaa hii.

14714489_670481993120262_7925472949098774528_n
Ni muda mrefu msanii huyo amekuwa kimya lakini kwa sasa ameonekana kuanza kuachia kazi zake kwa kasi ikiwa ni siku chache zimepita tangu alipoachia wimbo wake mpya pamoja na video ya ‘Gbagbe Oshi.’
Ijumaa hii Davido anatarajiwa kuachia video ya wimbo wake mpya ‘How Long’ aliomshirikisha msanii kutoka Marekani, Tinashe lakini pia wimbo huo unapatikana kwenye albamu yake mpya, Son of Mercy.
Powered by Blogger.