Msani Eliezzo Da Trigger kutoka Burundi, azungumzia ujio mpya wa nyimbo yake baada ya kufanya vizuri na Gamme Nothing baadae ameshirikiana na Sag Wise mwenye makazi yake nchini Ubeljiji, nyimbo itwayoBuja Down.
Wakati nyimbo yake Buja Down ukiwa bado unasumbua media, msani huu anatarajia kuachia kibao kizito kwajili ya kuwaburudisha mashabiki wake pia kusalia kwenye top.

Eliezzo Da Trigger bado angali kijana mdogo ila azidi kushangaza watu kwa kipaji chake cha pekee, anatarajia kuachia kazi nyingine itwayo Impeta.

Eliezzo azidi kukandamiza palepale na azidi kwenda juu, tusubiri ujio wake mpya kwa makini pengine inaweza kumtambulisha kimataifa.
Hii Hapa moja ya kazi yake:

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top