Msani Davidson amesema yupo tayari kuimba na Diamond Platnumz


 Msani Gashano David almaarufu  Davidson kutoka Burundi mwenye makazi yake Afrika Kusini, amefunguka kuhusu swala ya kufanya collabo kali na msanii wa Afrika. Alipo Ulizwa na waandishi wa habari msani gani ambae anaye kubali Afrika Mashariki, msanii huyo amejibu na kumtaja kama anamkubali sana Diamond Platnumz wa Bongo Fleva, Tanzania.
Aidha, Davidson amesema yupo tayari kuimba na nyota wa muziki wa kizazi kipya wa nchini Tanzania, Nasseb Abdul "Diamond". 

Davidson ameeleza msimamo wake baada ya kuona kazi za Diamond alizoshirikiana na msanii wa Burundi,  Lolilo Mzizi wa Jiwe kufanya vizuri huku akiwa na imani kuwa collabo yake itafanya vizuri zaidi duniani pote.

Mkali wa Good Times ambayo ni wimbo inayo zidi kufanya vizuri Afrika Kusini na Burundi, Davidson amesema kuwa amefikia uamuzi huo kutokana na kuvutiwa na muziki wa Diamond, pia Diamond atavutiwa na kipaji chake.

Itakuwa ni jambo njema endapo nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond kukubali kushirikiana na msani huyo wa Burundi mwenyemakazi yake Afrika Kusini,Davidson.

Moja ya kazi yake hii hapa chini, inaitwa Good Times akishirikiana na Young Voice
Powered by Blogger.