Msani 2Minutes Yeye Lukicwa anatowa taarifa kwa vyombo vya habari na wasaniKatika maojiano mafupi na African Mishe, msanii 2 Minutes Yeye Lukicwa kutoka Burundi mwenye makazi yake Afrika Kusini ameishukuru kazi yake ya mziki pia vyombo vya habari huku akitowa taarifa kwa wasani wengine wajenge upendo kati yawo.

2Minutes Yeye ametowa taarifa kwa vyombo vya habari na baadhi ya wasanii pia mashabiki zake kuwa ameanza kuona matunda ya kazi yake kwasasa,
"Katika mwaka huu niko kwenye game hii ya muziki  tangu nianze kazi ya muziki,

nashukuru MUNGU tuko pamoja na pia, nashukuru vyombo vya habari vwa Burundi kwa kuendelea ku support muziki wa Burundi na kunipa nguvu mimi kama msanii.

Nashukuru vyombo vyote vya habari vinavyoshiriki kikamilifu kukuza na kulinda sanaa ya Burundi bila kujali maslahi binafsi, pia naishukuru sana Afrikan Mishe kwa kufanya kazi zetu na kujulikana duniani pote. Leo najisikia furaha sana ndio maana naamua kuonesha furaha yangu kuwa nazidi kufanya vizuri katika kazi yangu ya muziki na pia sikua nategemea kama naweza wakilisha Burundi nje ya nchi, kwasasa mashabiki wakisikia track zangu wananipa big up sana  na baadhi ya wasanii wenzangu hapa nchini".


Mkali wa We Baby, amesewambia wasani wote wa Burundi Flava wazidishe upenda kati yao na endapo umoja amekosea nilazima kumkosowa ili waone kama Burundi Flava inaweza kuwa juu zaidi.

 Sikiliza moja ya nyimbo yake inayo zidi kufanya vizuri Afrika Kusini itwayo We Baby akishirikiana na Travis
Powered by Blogger.