Mrembo Miss Tayana wa Bongo Movie anadaiwa kutoka kimapenzi na Bienv Fizzo wa Burundi Flava


Mrembo aliyeuza nyago kwenye filamu itwayo Kipenzi Cangu, na ameonekana kama gumzo baada ya kushiriki katika filamu nyingi za Bongo Movie, Miss Tayana. Mrembo huyo wa Tanzania ameweka wazi usiano wake wa kimapenzi na msani kutoka Burundi, Bienv Fizzo.

Awali Bienve Fizzo ametangaziwa kutoka na wengine ila mambo ambao msanii amekanusha nakusema kuwa ni uzushi ila kwasasa penzi lake na Miss Tayna wa Bongo Movie imedhiririka anadhara mpaka mrembo huyo kufikia kuandika tattoo ya jina la Bienv Fizzo.

Mpenzi mpya wa Bienv Fizzo ambaye  ni muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Miss Tayana amejichora tattoo kifuani yenye jina la Bienv Fizzo.

Kupitia ukurasa wa Bienv Fizzo wa whatsapp, Fizzo ambaye anazidi kufanya vizuri kwenye soko la Burundi Flava alitupia picha ikimuonesha  mrembo huyu akiwa na tattoo yenye jina la staa huyo ikianikwa kisha  akaandika :
“Asante mpenzi wangu wa kweli wa shida na raha.”

Tusubiri kama Staa Bienve Fizzo naye anaweza kuchora tattoo lenye jina  la mpenzi wake mpya  kifuani ao mkononi.
Powered by Blogger.