Wiki hii kuna pambano kumi za kusisimua katika wiki ya kwanza ya kuwania kufuzu kombe la Dunia 2018 upande wa timu za Afrika. Kwa furaha ya mashabiki wa soka michezo imepangwa kuchezwa siku tatu kwa nyakati tofauti.

Hakika, wiki ya kwanza ya michuano imeanza leo Ijumaa, Oktoba 7 kati ya Black Stars ya Ghana  dhidi ya Uganda Cranes.

Hi hapa  mpango kamili :
Ijumaa, Oktoba 7

    
Ghana - Uganda (15:30, uwanja : Tamale, Tamale Sports Stadium)
Jumamosi, Oktoba 8

    
DR Congo - Libya (15:30 Kinshasa, uwanja :Complexe Omnisports stade des Martyrs)

    
Gabon - Morocco ( Franceville, Stade Rénovation)

    
Burkina Faso - Afrika Kusini (18.00,Ouagadougou, Stade du 4 août)

    
Ivory Coast - Mali (18:00, Bouaké, Stade de la Paix)
    
Senegal - Cape Verde (20:00, Stade Léopold Sédar Senghor)
Jumapili, Oktoba 9

    
Zambia - Nigeria (14:30, Ndola, Levy Mwanawasa Stadium)

    
Congo - Egypt (15:30, Brazzaville,  Complexe sportif de la Concorde de Kintélé)
    
Tunisia - Guinea (18:00, Monastir, Stade Mustapha Ben Jannet)
    
Algeria - Cameroon (20:30, Blida, Stade Mustapha Tchaker)

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top