MJ RECORD kumtambulisha msanii mpya mwezi wa 11 anaitwa NINI

1

SAUTI MPYA, MZIKI MPYA , LADHA MPYA, KIPAJI KIPYA Kutoka @mjrecordstz Anaitwa @nini_tz. Wimbo Unaitwa #NIMECHELEWA Unatoka Mwezi Wa 11. 5

Pichani ni prod Daxo Chali aliyekaa katikati akiwa na msanii NINI kulia na kushoto ni msanii Haitham wote kutokea MJ Rec
Powered by Blogger.