Mechi za wiki ya 5 ya Ligii kuu Primus League Burundi


Ligi kuu ya primus League inaingia katika wiki yake ya 5 wiki hii na mechi zimepangwa huku kuna mechi kubwa ambazo ni mechi za kushuhudia kama timu ya LLb na Inter Star ni timu mbili zinaongoza nafasi ya kwanza kwa mda pia Aigle Noir ya mkoani Makamba ni ya nne itachuana na wabingwa watetezi Vitalo ambayo wanazidi kushindwa kutetea ubingwa wao.

Mechi za Wiki ya 5 katika viwanja tofauti :
Jumamosi 08/10/2016:
 Bujumbura City vs Nyanza United /14h00
Ngozi City vs Rusizi /15h00
Aigle Noir vs Vitalo /15h00
Musongati vs Les Lierres /15h00
Olympic Star vs Muzinga/15h00
Flambeau vds Messager Ngozi /15h00
LLB vs Inter Star /16h00

Jumapili 09/10/2016:

Messager Bujumubura vs Atletico Olympic 15h00


1.LLB: pointi 12 na  goli 5
2.Inter Stars: pointi12 na goli 4
3.Athletico Oly.: pointi 10 na goli 12
4.Aigle Noir: Pointi 7 na goli 2
5.Musongati:pointi 6 na goli 1
6.Flambeau de l'Est: pointi 6 na goli 1
7.Messager Ngozi: pointi 6 na goli 0
8.Les Lierres:pointi 5 na goli 2
9.Rusizi FC:pointi 5 na goli 2
10.Olympic Star:pointi 4 na goli -6
11.Ngozi City:pointi 3 na goli -1
12.Vital'o:pointi 3 na goli -1
13.Muzinga:pointi 3 na goli -5
14.Messager Buja:pointi 2 na goli -4
15.Buja City:pointi 1 na goli -3
15.Magara Star:pointi 1 na goli -5
Powered by Blogger.