Mchezaji Fosu-Mensah kubakia Old Trafford hadi 2020

Klabu ya Manchester United imetangaza kumpa mkataba mpya beki wa kimataifa wa Uholanzi, aliyejiunga na Academy yao 2014 Timothy Fosu Mensah ambaye ana miaka 18, amesaini mkataba mpya utakaomfanya aitumikie timu hiyo mpaka mwaka 2020.
Fosu-Mensah ambaye ana asili ya Ghana, ana uwezo wa kucheza nafasi ya beki na kiungo mkabaji alijiunga katika academy ya Man United akiwa na umri wa miaka 14.
dbdd563e0de746329804d1ee6578e8cc
Powered by Blogger.