Matokeo na msimamo kamili wa Ligi kuu Primus League Burundi

Liga kuu ya Primus League Burundi imeingia kwenye wiki yake ya sita huku ikiwa kama wiki  ya sita ikiwa ni wiki ya masikitiko kwa baadhi ya timu ambazo zimeonekana kutamba siku za nyuma ila zimeshindwa kufanya vizuri na pia ni wiki ya furaha kwa mashabiki wa Vitalo ambao wamepata  ushindi wa kwanza katika mechi sita msimu huu.

Jumamosi 15/10/2016 :
- Aigle Noir FC1-0 Olympic Star
- Ngozi city 0-0 Musongati
- Flambeau 1-1 les Lierres
- Messager Bujumbura 0-0 Messager Ngozi
- Inter Star 1-0 Rusizi FC
- Muzinga 1-4 Vital'O FC


Jumapili 16/10/2016 :
-Saa nane : LLB 0 - 1 Magara star.
- Saa kumi : Bujumbura City 1 - 0 Athletico Olympic

 Msimamo wa ligi wiki ya  61.LLB: pointi 15 na bao 5
2.Inter Stars: pointi 15 na bao 4
3.Athletico Olympic: pointi 13 na bao 13
4.Aigle Noir: pointi 11 na bao 3
5.Musongati FC: pointi 10 na  5
6.Messager Ngozi: pointi 10  na bao 1
7.Vital'o: pointi 7na bao2.
8.Ngozi City: pointi 7 na bao 1
.9Flambeau de l'Est : pointi 7 bao 0
10.Les Lierres FC: pointi 6 bao  -2
11.Magara Star: pointi 6 bao  -2
12.Muzinga FC:  pointi 6 bao  -7
13.Rusizi FC: pointi 5na bao -5
14.Bujumbura City: pointi 4 na bao  -4
15.Olympic Star: pointi 4 bao -8
16.Messager Bujumbura: pointi 3 bao  -6
Powered by Blogger.