klabu ya Hull city yamtangaza rasmi Phelan kuwa kocha mkuu

klabu ya Hull City imemtangaza rasmi Mike Phelan,kuwa kocha wa kudumu Phelan,54, amekuwa kocha wa muda wa klabu hiyo tangu mwezi julai mwaka huu kufuatia kocha Steve Bruce kuondoka klabuni hapo.
395b9b4f00000578-0-image-a-32_1476376557177
Mwanzo mzuri katika ligi kuu ya England kwa kocha huyu kulimfanya kuwa kocha bora wa EPL mwezi Agosti, mkataba wake klabuni hapo utaisha mwishoni mwa msimu huu.
Powered by Blogger.