Kama Ulikuaaujui Leo ni Siku ya Kuzaliwa Mtangazaji Maarufu Gihimbare Judie-Caëlle wa Radio Colombe FM ya Nchini Burundi

Kama ulikua aujui leo ni siku ya Kuzaliwa Mtangazaji Gihimbare Judie-Caëlle wa  Radio Colombe FM ya Nchini Burundi . Uongozi wa website hii ya africanmishe.com unapenda kutoa pongezi kwa mtangazaji huyu kwa kuongeza mwanga katika maisha yake  tuna mtakia maisha mema na yenye baraka na yenye kumpendeza mungu  sisi sote kwa pamoja tunasema HAPPY BIRTHDAY
Powered by Blogger.