Timu ya Inter Star imezindua jezi mpya leo hii kwenye  mechi ya kusisimua dhidi ya Atletico Olympic, jezi hiyo wataitumia msimu huu 2016-2017  katika  michuano mbali mbali itakayokua inazikabili.
Uzinduzi huo wa jezi mpya utafanyika leo saa nane kwenye mechi dhidi ya Atletico OLympic kwenye uwanja wa mwanaMfalme Louis Rwagasore.
Kuna Habari inayothibitisha kuwa kuna jezi nyingine tena itazinduliwa siku za mbele kama tulivyo fahamishwa na kamati nzima ya timu hiyo.

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top