Je Tambwe anatarajia kusaini mkataba na ELIBTV?

Kipi kinacho endelea kati ya Mutayarishaji pia muigizaji wa filamu wa Burundi Movie, Tambwe na Mtandao  Elibtv.com? huku tunatambua kuwa Elibtv inauza filamu mbali mbalia baada ya utafiti tumegundua kuwa Tambwe anatarajia kusaini mkataba na Mtandao huwo ila ni habari tunazidi kufatilia kwa ukaribu.

Tumejariu kumtafuta Tambwe katika njia zote bila mafanikio baadae tumemkuta kwenye kampuni yake (Tambwe The Great Films) amabayo ndiye kiongozi, ametufungukia kuhusu habari hiyo ya kusaini mkataba na  Elibtv."habari kama ilivyo ndivyo ila bado mapema sana msijali nitawafaamisheni siku chache kuhusu nshu hiyo (Elibtv.com) pia najua wengi wanasubiri kitu icho, ni mojawapo ya mambo mazuri. Mambo mengi mazuri yanakuja na ndio ndoto ya kila mtu kufanikisha kile ambacho unacho kiitaji ", ameyasema hayo Mutayarishaji pia muigizaji wa filamu Tambwe kutoka katika kampuni la Tambwe The Great Films
Powered by Blogger.