Ibrahima Iyane Thiam amekuwa raia wa kwanza kutoka Senegali kumiliki Timu ya Soka


Raia wa Senegale, Ibrahima Iyane Thiam  ameteuliwa kama kiongozi wa timu ya soka Korona Kielce ya nchini Poland huku akiweka rikodi kama raia wa kwanza kutoka Senegale kumiliki timu ya soka nchini hapo.
Hakika raisi wa zamani wa klabu ya Poland,  Wojcieck Lubawski ameuza 75% ya hisa zake kwa Ibrahima Iyane Thiam ambaye amekuwa tajiri wa kwanza wa klabu hiyo.

Tuwakumbushe kuwa Thiam, tayari ameanzisha shule la soka mjini Matam, kaskatini mwa Senegal. Shule hiyo ya Soka inaitwa Noyau sportif Football Club/NSFC Iyane.
Ibrahima Iyane Thiam mwenyewe

Powered by Blogger.