Haya ndio maisha ya msani G Bo tofauti na muonekano wake kwenye muziki


Msani G Bo kutoka Burundi ambaye anazidi kufanya vizuri kwenye game ya muziki, maisha anayo ishi ni tofauti na muonekano wake kwenye muziki. Msani huyu ameachia video clip ya nyimbo yake mpya itwayo Sioni ambayo inazidi kupendwa na mashabiki wa Burundi Flava, ameonekana akifanya kazi za ndani tofauti unapo kutana naye njiani.

Siku nyingi tumeitaji kumuoji msanii huyo kuhusu kazi yake ya muziki bila mafanikio ila tumejaribu kumtafuta na kufanya surprise ili tufaamu anapo ishi ndipo tumegundua maisha yake ikiwa tofauti na muonekano wake kwenye muziki.
Muandishi wetu alimkuta G Bo akiandaa chakula cha saa sita katika mazingira mabovu huku amejaribu kumpiga picha kisiri bila msani kutambua chochote.
Aidha, wasanii wengi wanamuonekano mbili wa nyumbani ni tofauti na wa muziki kama tulivyo shuhudia mahali anapo ishi msanii huu G Bo kama tunavyo ona kwenye picha hizi.Powered by Blogger.