Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga Hans van der Pluijm ameandika barua ya kujiuzulu kuifundisha klabu hiyo ya Jangwani taarifa hiyo ilitoka kupitia katika mtandao wake wa instagram.

Uongozi wa Yanga SC umepokea barua ya Mwalimu Hans yakujiuzulu kwake na kukubaliana na hatua yake hiyo aliyoifikia

Uongozi unatambua mchango wake mkubwa kwa klabu yetu lakini hauna budi kukubaliana na maamuzi yake hayo.

Uongozi unamtakia maisha mema uko aendako na Yanga ni kama nyumbani kwake anakaribishwa muda wowote na siku yeyote ile.

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top