Eddy Kenzo Awatolea Uvivu MTV Base, Adai Ameshinda ila Tuzo Akapewa Mwingine

Msanii wa Uganda Eddy Kenzo asema kuna namna inafanyika kuamua washindi wa MTV Mama na si upigaji wa kura maana kwenye kipengele change yeye ndo alikuwa na kura nyingi akifuatiwa na Mr. Flavour huku alieshinda Casper nyovest alikuwa na tatu kwa wingi wa kura...

Eddy KenZo Ameandika namnukuu
"Mimi Balozi wa mtandao wa Simu wa Airtel, Bahati Mbaya Mtandao wa Simu wa MTN ndo Wadhamini wa TuZo Za #mtvmama2016 na Mshindi ktk kipengele nilichotajwa Ni Balozi wa MTN (umeona eeeh) Eddy Kenzo akaendelea kutoboa "kumbuka nimetumbuiza ktk nchi 35 Na nchi 10 Kati ya Hizo nimetumbuiza nikiwa na nyomi la Kwenye Viwanja vya Mpira kuna nn mafanikio gani Zaidi ya hayo?
.
Walituambia tupige Kura Na Mashabk zangu walifanya hivyo Kwa kwenda kwenye mitandao ya MTV, Eddy Kenzo akasisitiza "Nenda Kwenye mtandao wao Na bonueza kipengele Cha #BestLiveAct Na ukajionee Mshindi nani, sina wivu mm (Kama Jux ) Ila na lalamika kwasababu walituambia tupge Kura na mashabiki wakafanya maamuzi, nenda Kwenye page MTV ukaangalie walichosema Hata Kwenye emails, mm Eddy Kenzo ndo niliyepigiwa Kura Zaidi ya wote ktk kipengele Cha Best Live Act Na Msanii Ston Boy alikua wa Pili, Mr Flavour alikua wa TATU, Na Caspa Nyovest alikua wa Nne ktk Platforms zote MTV Base Africa, lakini mwisho wa cku mtu wa 4 ndo amepewa TuZo, jamani jamani Hata ingekua Wewe Povu lingekutoka tu, au mm ckuwaelewa waliposema tupige Kura Kwa Msanii unayempenda? Eddy Kenzo akamalizia Kwa kuwashukuru mashabiki zake Na Mwenyezi Mungu, imetafsiriwa Na MAKOROKOCHO @soudybrown .
Eheeeeeee nimejitahd kutafsiri Na ka dictionary Kangu ka kunyapia nyapia
.
Kwa anachokimaanisha Eddy Kenzo Ni kuwa wasanii Kama Navy Kenzo Hata wangefanya nn wasingepata TuZo kwasababu Ni mabalozi wa AIRTEL Tanzania, pia Bwana Diamond Platnumz asingeweza kupata TuZo kwasababu yeye Ni Balozi wa Vodacom, Ya Moto Band Na Ali KIBA nao wasiweza kupata TuZo kwasababu Ni mabalozi wa mtandao wa Simu wa @shilawadu Kazi kweli kweli #mtvmama2016 sio watu wa Spoti Spoti -
Powered by Blogger.