Cypro Light aeleza ujio wa Single yake mpya kali zaidi ya Vuga Yes

Msanii Cypro Light  Burundi, baada ya kutamba na kibao Vuga Yes alimshirikisha Lolilo Mzizi wa Jiwe "Simba", amefunguka kuweka wazi ujio wa nyimbo yake mpya.

Staa huyu akizungumza na African Mishe amesema kuwa kwasasa yupo studio katika arakati ya kurikodi nyimbo mpya huku akisema kuwa ujio wake mpya itakua ni nyimbo nzuri kuliko Vuga Yes kwahiyo mashabi wa Cypro Light wakati wowote watapata ladha nzuri.

Cypro Light ameongeza nakusema kuwa anajua ni kitu gani mashabiki wa muziki wake wanacho kitaka kutoka kwake, kwahiyo ni majukumu kwake kuwapatia kile ambacho wanaitaji.
Powered by Blogger.