CAN 2017: Kalenda kamili ya michuano la Kombe la Mataifa ya Afrika

kufuatia uteuzi uliyofanyika tarehe 19 octobar mjini Libreville, sasa tunajua mpango kamili ya hatua ya makundi.
Mechi mbili kila siku zitachezwa  kabla ya kuhamia kwenye robo fainali.
Mechi ya uzinduzi itafanyika kati ya nch wenyeji Gabon dhidi ya Guinea Bissau ambayo itacheza kombe la kwanza la mataifa ya Afrika katika historia yake.

Ebu tuwakumbushe kundi zilivyo pangwa

Kundi A (Libreville): Gabon, Burkina Faso, Cameroon, Guinea Bissau
Kundi B (Franceville): Algeria, Tunisia,, Zimbabwe Senegal

Kundi C (Kundi ngumu): Ivory Coast, DR Congo Morocco, Togo

Kundi D (Port-Gentil): Ghana, Mali, Misri, Uganda.


Powered by Blogger.