Brand New Video Alerte|The Real Music Maker's - Call them |Coming soon..

Kundi lizima la The Real Music Maker's(TRMM) kutoka Afrika ya kusini ivi punde litaachia video ya ngoma yao mpya iitwayo ''Call Them''.
Kundi hili limeundwa na vijana tisa(Mike Malon,Mc Fella,G.A,Enock Bower,C-Jay,CAIOVE,2 Black,B.Fadzolo,Black Scizzo) kutoka nchi tofauti za barani Afrika:Angola,Burundi,Tanzania,South Africa...
Kundi hili limekua mfano mkubwa Afrika,zaidi sanaa nchini Afrika ya kusini,Mastaa wa muziki na filamu nchini Afrika ya kusini wamelipongeza sanaa kundi hilo kwa umoja na ushirikiano wao kwenye kazi zao.

Kwenye mahojiano mafupi na Mishe Mishe Media kupitia njia za simu na mmoja kati ya members wakundi hilo Mc Fella kuhusu kundi hilo.
Mc Fella kusoto
Mc Fella amesema :''Kundi letu lina mwezi Sita sasa na tuna project nyingi ili tuendeleze muziki barani Afrika ,tumeandaa Concert tofauti nchini South Africa mwezi huu ,Mungu Akipenda tutafanya concert nchi zingine tofauti za Afrika''.
Alipo ulizwa kuhusu management, Mc Fella alijibu:''Tunajitengemea kwenye kazi zetu na kila moja ni kiongozi na ana cheo chake na departement yake''.
"Kwa ujumla na kwa ufupi hili sio kundi ni Shirika la wanamuziki na very soon mtaona video yetu yakwanza ya wimbo wetu mpya uitwao Call Them",alimalizia ivo Mc Fella.
Africanmishe inaitakia  TRMM kila la kheri.

Powered by Blogger.