TANGAZO

Klabu ya A.S.S.A Djiboutie Telecom ya nchini Djiboutie imechukua kombe la Super Cup kwa kuitiririkia mvua ya mabao  FC  DIKHIL kwa bao 5 -2 huku golikipa wa timu ya taifa Intamba Murugamba, Nzokira Jeff akifaulu kuokoa penalti moja katika fainali hiyo.

A.S.S.A Djiboutie Telecom imefanikiwa kuchukua kombe zote mwaka huu ikiwemo Ubingwa wa Ligi Kuu, Kombe la Raisi, Super Cup pia imefuzu kushiriki hatua ya makundi ya ligi Arabe mwaka huu nchini Qatar.

Tuwakumbushe kuwa A.S.S.A Djiboutie Telecom imesajili wachezaji wa wili msimu huu wa Burundi, Luco na Moussa Mossi Hadji ila wachezaji hawo wa wili kutoka Burundi hawakucheza fainali ya Super Cup kwa tatizo iliyojitokeza kati ya shirika mbili za michezo ya Burundi na Djiboutie, ila wachezaji hawo wameruhusiwa baada ya fainali hiyo.
 

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top