Kocha wa Senegal, Aliou Cissé ameweka wazi orodha ya wacheza 24 watakao jielekeza Afrika Kusini  kwa niaba ya wiki ya 2, mechi ya kuwania kufuzu kombe la Dunia 2018, mechi inapangwa Novemba 12

Katika orodha ya Senegal, mchezaji Moussa Sow hayupo kwasababu ya maumivu kwenye bega lake huku nafasi yake ikichukuliwa na  Mame Biram Diouf.

Tuwakumbushe kuwa  Abdallah Ndour kaitwa mara ya kwanza akiwa kama beki akiichezea Strasbourg, Ufaransa  daraja ya pili.

Wachezaji 24 wa Senegal

Makipa : Abdoulaye Diallo, Khadim Ndiaye, Pape Seydou Ndiaye
Walinzi  : Lamine Gassama, Fallou Diagne, Ibrahima Mbaye, Kara Mbodj, Zargo Touré, Kalidou Koulibaly, Saliou Ciss, Abdallah Ndour
Viungo : Idrissa Gana Guèye, Cheikhou Khouyaté, Cheikh Ndoye, Pape Kouly Diop, Younousse Sankharé, Pape Alioune Ndiaye, Mohamed Diamé
Washambuliaji : Sadio Mané, Diao Baldé Keita, Moussa Konaté, Famara Diedhiou, Mame Birame Diouf, Ismaila Sarr.

Wachezaji 25 wa Afrika Kusini 

Makipa : Ronwen Williams, Itumeleng Khune, Brighton Mhlongo
Mabeki : Ramahlwe Mphahlele, Rivaldo Coetzee, Thulani Hlatshwayo, Clayton Daniels, Tebogo Langerman, Eric Mathoho, Thabo Matlaba, Asavela Mbekile
Viungo : Dean Furman, Andile Jali, May Mahlangu, Thulani Serero, Daine Klate, Ayanda Patosi, Keagan Dolly, Mpho Makola, Hlompho Kekana
Washambuliaji : Eleazar Rodgers, Thuso Phala, Sibusiso Vilakazi, Tokelo Rantie, Lars Veldwijk

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top