Video,Eminem kaitayarisha hii kazi mpya ya Skylar Grey ‘Come Up for Air’ isikilize hapa

Msanii aliyegunduliwa na Dr Dre ametoa wimbo wake mpya uliotayarishwa na Eminem. Mwana dada Skylar Grey amerudi tena kwenye mawingu na wimbo mpya “Come Up for Air,” kutoka kwenye album yake mpya ya Natural Causes itakayokuwa mtaani Sept. 23

Powered by Blogger.