responsive ads

Video & Picha | Diamond na Ne-Yo washoot video ya wimbo wao ‘Marry You’

Image result for Diamond na Ne-Yo photoHatimaye Diamond na Ne-Yo wameshoot video ya wimbo wao, Marry You.

Video imefanyika jijini Los Angeles, Marekani. Wimbo huo ulirekodiwa
kitambo baada ya Diamond kumfuata Ne-Yo Nairobi alikoenda kwenye kipindi
cha Coke Studio Afrika, msimu wa tatu.


Baada ya hapo wawili hao walikutana tena Marekani kumalizia baadhi ya
vipande. Mwezi May, Ne-Yo na Diamond waliuimba wimbo huo pamoja kwenye
uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, kwenye tamasha la Jembeka.

middle 300x250
Powered by Blogger.