Baada ya kuthibitishwa kuwa wanafanya filamu pamoja huku Lady Gaga akiwa muigizaji na muongozaji wa filamu hio ni staa Bradley Cooper, inasemekana wawili hawa wameanza kuonekana sehemu tofauti wakiwa wawili tu na kuibua tetesi za mapenzi kati yao.
Lady Gaga na Bradley Cooper wanafanya kazi kwenye filamu moja ya  A Star Is Bornna hivi karibuni walionekana pamoja wakinunua vitu vya ndani huko Malibu, California.

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top