Staa wa Bongo Fleva ambaye kwa ssa yupo nchini Marekani  Diamond Platnumzakifanya video ya wimbo wake na Neyo amethibitisha kuwa anakuja na rekodi mpya na Rapa Yo Gotti.
Kupitia Instagra yake leo September 5, 2016 Diamond Platnumz ameandika maneno haya “One of the Realist G i ever met…. can’t wait for our Record….Let’s go get em fam!???? @Yogottikom “

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top