Sikiliza na u download nyimbo za Msanii Floris Pro hapa

Mwanamuziki Munezero Floris almaarufu kama Floris Pro kutoka Burundi; ameamua kuachia kazi zake nne kwa pamoja , Sambamba, Neno Moja, Live your Life pamoja na Camoyoni. 
Floris Pro wengi wanamfaamu kama Producer na amewahi kujijengea sifu nyingi mpaka sasa kama Producer mahiri na wanamuziki wengi wametoka kupitia kwake, ila kwasasa ameamua naye kuingia kwenye game hii ya muziki uku akija na mtindo wa kihutu nzima unao pendwa na wengi.

Wengi wamekua na hamu ya kusikia kazi za mwanamuziki huu ndio sababu ya Mishe Mishe kujaribu kuisogeza nyimbo zake nne hapa na kwakuwa ni producer anaelewa mtindo gani unnao weza kumtambulisha kimataifa.

Hebu zisikilize nyimbo nne kutoka kwa mwanamuziki Floris Pro

Endapo utapendelea kazi zako zipatikane kwenye tovuti yetu hii, unaweza wasiliana nasi kwenye namba +257 75707305 
 
Powered by Blogger.