Akiongea na kuluti mc wa mishe mishe media rapper huyo amedai kuwa wimbo huo unaweza ukamgusa meneja huyo wa Diamond kwa asilimia ambazo yeye mwenyewe anazoweza kuzihisi.
“Yeye ni mwenye muziki kwahiyo?,” aliuliza Nikki. “Wamejiongeza wao, ni sawa sawa na kumuimba Nay Wa Mitego, mimi nilimuimbia mwanamke sasa nyinyi mnamjua Nay Wa Mitego huyo ni wa kwenu nyie.”
“Ngoma very soon inakuja watu wakae tayari sasa hivi kwa maandalizi kwa sababu nafanya version za Babu Talent tofauti tofauti. Kuna moja imeshafanyika kuna nyingine bado session zipo kwa sababu watu wengi wameniomba kuniofa mdundo wa kufanya hiyo kitu,” aliongeza.

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top