Akiongea kwenye kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz cha Salama Jabir, Alhamis hii, AY alisema video zinazofanywa Afrika Kusini zimeanza kufanana mno.
Alisema hiyo ni ndio sababu iliyomfanya afanye video tofauti ya wimbo wake El Chapo iliyoongozwa na muongozaji wa Tanzania, Shedipro anayeishi SA.

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top