Katika mahojiano na sauti ya Amerika VOA Swahili jana jioni, Mwenyekiti
aliyejiuzulu wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba amesema kuwa yeye bado ni
Mwenyekiti halali na kikao kilichomvua uanachama ni batili.Akihojiwa na mwandishi wa habari mahiri Sunday Shomari, Mwenyekiti huyo
aliyejiuzulu amesisitiza kuwa yeye bado ni mwenyekiti halali kwa mujibu
wa katiba ya CUF na kikao kilichoongozwa na Mhe. Katani huko Unguja ni
batili na yeye anaendelea na shughuli za kichama kama kawaida.

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top