responsive ads

New Video|LOLILO - NYIBUTSA|Download Mp4

Msani mkongwe kwenye game la muziki nchini Burundi Lolilo ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ''Nyibutsa''.Staa huyu ambae kwasasa anajiita Simba amezijengea headlines nyingi kwenye soko la muziki afrika masharika badaa tu ya kuachia ngoma mbili ambazo alimshirikisha Diamond Platnumz myaka miwili iliopita.
Lolilo anatarajia kuachia mwaka huu Album ya tatu ambayo hajapenda kuitaja jina la album hiyo na itakuwemo nyimbo ngapi?.
Video hii imetengenezwa na Director O Farcy ndani ya Ujumbe Pictures.

Itazame hapa :Nyibutsa by Lolilo Simba

                                                     
middle 300x250
Powered by Blogger.