Staa kwenye game la muziki Burundi Lolilo Lizzo a.k.a Simba ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ''Ndatahutse''.
Video hii ipo chini ya Producer O Farcy ndani ya Ujumbe Pictures.
Itazame hapa: Ndatahutse by Lolilo Lizzo                                                                     

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top