TANGAZO
Msani kutoka Burundi Aime. M ambae kwa sasa makazi yake ni nchini Umarekani(USA) mjini Baltimore Maryland amechia video ya ngoma yake mpya iitwayo ''Body''.
Msani huu ambae pia ni Producer amezijenga headlines nyingi baada tu yakuachia ngoma ambayo alimshirikisha Sat B kwenye kibao kinacho fanya vizuri hadi sasa kitwacho ''Vi maneno''.
Itazame hapa :Body by Aime M
                                                    

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top