bank-videoBaada ya kuvunjika kwa kundi la P-Square linaloundwa na ndugu wawili,
Peter na Paul Okoye huku kila mtu akifanya kazi kivyake, hatimaye kundi
hilo limerudi tena kwa wasanii hao kuachia video ya wimbo wao mpya ‘Bank
Alert. Tazama hapa chini video hiyo.... na kama na wewe ni msanii na ungependa kazi zako zionekane kwenye tovuti hii wasiliana nasi kwa no; +255714903603

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top