Baada yakuzijenga headlines nyingi kupitia kibao ''Ile ile'' chenye miondoko ya genge,Magic Soldier a.k.a Kingorongoro ameachia video ya ngoma hiyo(Ile ile).
Video hii yenye quality ya kisasa(4K) ipo chini ya mikono ya Director Landry SB ndani ya Grand Pictures.
Itazame Hapa :Ile ile by Magic Soldier Kingorongoro


                                                 

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top