Msanii Gaaga Blue ameachia  clip Video ya track yake mpya itwayo Mambo. Baada ya kufanya vizuri na track yake Utaipenda aliyo mshirikisha mwana mama Natacha kwasasa mekuja na video nyingine nzuri.
Video ipo chini ya  Kampuni Zenges Video inayo usiku na utengezaji wa video mbali mbali na tayari kampuni hii imekwisha shuti video  ya Gaaga Blue itwayo Na Tema.

Tizama picha chache za video hii


Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top